Jaji kiongozi wa mahakama kuu Tanzania,Mh. Faki Jundu akikata utepe kufungua mahakama ya mwanzo maposeni iliyopo wilayani songea jana,kulia ni jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya songea,Mh. Peter Chocha na kushoto hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo ya mwanzo,Aneth Senkoro.
Mkandarsi aliyejenga mahakama ya mwanzo ya maposeni wilayani songea,Efreim Malya katikati akimueleza jambo jaji kiongozi wa mahakama kuu ya tanzania,Mh. Faki Jundu wa kwanza kushoto,mara baada ya Jaji Jundu kufungua rasmi mahakama hiyo jana,kuli ni jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya songea peter Chocha.
Jaji kiongozi wa mahakama kuu Tanzania,Mh. Faki Jundu (kushoto) akipokea mti wa mparachichi kutoka kwa hakimu mkadhi mfawidhi wa mahakama ya wilaya Songea Janifer Changani jana katika viwanja vya mahakama ya mwanzo maposeni songea vijijini.
Jaji kiongozi wa mahakama kuu Tanzania,Mh. Faki Jundu akipanda mti jana katika viwanja vya mahakama ya mwanzo maposeni songea vijijini,wakati wa ziara yake ya siku mbili mkoani Ruvuma,kulia ni hakimu mkazi mfawidhio wa mahakama ya wilaya songea Janifer Changani na kushoto kwake ni jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Songea,Mh. Peter Chocha.PICHA NA MUHIDIN AMRI WA GLOBU YA JAMII.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...