Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipanda mti kwenye chanzo cha maji katika kijiji cha  Ilongero, Singida Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji miti.  Aliyesimama kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Vincent Perseko Ole Kone.
 Wanafunzi wakipanda  miti katika chanzo cha maji cha kijiji cha Ilongero, Singida ambako waziri Mkuu Mizengo Pinda aliongoza shughuli hiyo Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji  miti
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua kisima  kirefu cha maji baada ya kuongoza upandaji miti katika kijiji cha Ilongero , Singida Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji iti Kushoto ni mkuu wa mkoa huo, Vincent  PersekoOle- Kone. Picha na PMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi huu utamaduni wa kiongozi kuwekewa mkeka wakati wa kupanda miti umeanza lini? na unatufundisha nini?. Kwamba viongozi hawapaswi kukanyaga udongo wa shamba au ni ustarabu mpya. Je wale washindao mashambani wanalionaje hili. Niliona kama viongozi wengi ni watoto wa wakulima wangelipinga hili.
    samahani kwa usumbufu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...