Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.(Picha na Ramadhan Othman - Ikulu Zanzibar.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...