| TAREHE | SIKU/SAA | TUKIO | MAHALI |
| 8/04/2012 na 9/04/2012 | Jumapili Na Jumatatu | Wabunge kuelekea Dodoma | Kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali |
| 10/04/2012 | Jumanne | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. | |
| Saa 7-11 Jioni | · Kikao cha Briefing cha Wabunge wote. · Vikao vya Kamati za vyama vya siasa. vitafanyika mara baada ya Kikao cha Briefing. | ||
| 11/04/2012 | Jumatano | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Biashara wa Mwaka 2011. [The Business Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2011]. | |
| 12/04/2012 | Alhamisi Saa 7.00-9.00 | · Kiapo cha Utii kwa Wabunge wapya. · Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu. · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada wa Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania wa Mwaka 2011 [The Tanzania Livestock Research Institute Act, 2011]. · Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi. | |
| 13/04/2012 | Ijumaa | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2012 [The Social Security Laws (Amendments) Act, 2012 (No.2) Act, 2011. | |
| 14/04/2012 | Jumamosi | · Semina kuhusu Anuani za Makazi na Simbo za Posta pamoja na mabadiliko ya Teknolojia ya utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali. | |
| 15/04/2012 | Jumapili | MAPUMZIKO | |
| 16/04/2012 | Jumatatu | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Muswada wa Sheria ya Marekebisho wa Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2011 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Act, 2011] . | |
| 17/04/2012 | Jumanne | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Uchaguzi wa Wabunge wa EALA. · Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma. | |
| 18/04/2012 | Jumatano | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Taarifa za Kamati za Bunge zinazosimamia Fedha za Umma. | |
| 19/04/2012 | Alhamisi | · Kipindi cha Maswali ya Waziri Mkuu. · Kipindi cha Maswali ya Kawaida. · Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/zisizo za Kisekta. | |
| 20/04/2012 | Ijumaa | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Taarifa za Kamati za Bunge za Kisekta/ zisizo za Kisekta. | |
| 21/04/2012 | Jumamosi | · Kamati ya MIPANGO. | |
| 22/04/2012 | Jumapili | · MAPUMZIKO | |
| 23/04/2012 | Jumatatu | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Kamati ya MIPANGO. | |
| 24/04/2012 | Jumanne | · Kipindi cha Maswali ya Bunge. · Taarifa ya Serikali ya utekelezaji wa Maazimio ya Kamati Teule ya Bunge. · Hoja Binafsi za Wabunge. · HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE. | |
Home
Unlabelled
RATIBA YA MKUTANO WA SABA WA BUNGE TAREHE 10/04/2012-21/04/2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


What is the allowance for 10 days - 2 million. Not a bad job!!!!Even weekends included - hao ni wachapakazi kweli - would be good to see the outcome of such unnecessary gatherings.
ReplyDelete