Mh Balozi Kallaghe Akitoa hotuba juu ya Muungano
Mh Balozi Kallaghe Akitoa toast kusherehekea Muungano
Salam,
Urban Pulse na Miss Jestina Blog wanakuleta taswira ya sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika hapa Tottenham, london Jumamosi tarehe 28.4.12.
Sherehe hii ilihudhuriwa na wadau mbalimbali, Mgeni rasmi alikuwa balozi wetu Mh Peter Allan Kallaghe akifuatana na mkewe, Naibu balozi pamoja na baadhi ya maofisa wa Ubalozi wetu hapa jijini London.
Aidha wakati akitoa hotuba yake Mh Balozi Kallaghe ailiwashukuru wadau na watanzanzia wote waliojitokeza leo kuja kuadhimisha sherehe hii na kuwasihi kuendeleza kudumisha muungano wetu uliodumu kwa miaka 48 sasa. Pia aliwaomba wadau wote kuendelea kufuatilia mchakato mzima wa kutafuta katiba mpya ya nchi yetu unaondelea nyumbani.
Kwa picha zaidi za matukio bofya hapo chini
Sherehe hii iliandakiwa na Swift Freights UK
pamoja na Pit Stop '' Uwanja wa Nyumbani''
Asanteni,
Urban Pulse na Miss Jestina Blog
normally connect two objects or two countries joined here, but if you see that these profiles of the people here are people who celebrate only one side
ReplyDeleteThis whole chapter that inatowa other side of shillings do not want even heard this fake union, which is interesting only previous case of injury Zanzibar
here we are many very united kingdom Zanzibar save I do not think there is not one to celebrate the death of Zanzibar,
and if you know this and you the other side Why did not share then we see who will be more developed than Zanzibar arguments every day we have something, just leave us it will be up to see Zanzibar very short time
HUU MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ....LAKINI SIJAMUONA MZANZIBAR HATAV MMOJA HAPO AU LONDON WAZANZIBAR WAMEHAMA HAWAPO TENA ...KWANI KWA MTAZAMO WANGU MWAKA 2009 NILIPOKUWA HAPO WANZANZIBAR NDIO WENGI KULIKONI BRITISH WENYEWE..
ReplyDeleteSiwaoni wazee wa Kazi serengeti kwenye sherehe hii? Kulikoni?hii ni sherehe muhimu sana kwetu.
ReplyDeleteHUU MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ....LAKINI SIJAMUONA MZANZIBAR HATAV MMOJA HAPO AU LONDON WAZANZIBAR WAMEHAMA HAWAPO TENA ...KWANI KWA MTAZAMO WANGU MWAKA 2009 NILIPOKUWA HAPO WANZANZIBAR NDIO WENGI KULIKONI BRITISH WENYEWE
ReplyDeleteWewe mdau wa kwanza andika kwa kiswahili tukuelewe maana hicho kiienglish kimekupiga chenga.
ReplyDeleteLakini jee muliwaalika hao wazenji kwenye hizo sherehe zenu za vinywaji?
Hakuna kofia wala hijab hapo sasa huo muungano upo wapi?
ReplyDeleteWazanzibari hawaonekanai hapo kwa kuwa wale ni watu wa kujilaumu tuuu,
ReplyDeleteYaani,,,NAFSI LAWAMA!
WAZANZIBARI WANA MATATIZO SANA WATU HAWA!
INAFIKIA MTU ANAWEZA PIA KUMLAUMU MWENYEZI MUNGU KWA KUMUUMBA!
Wazanzibari kujitenga ktk Sherehe:
ReplyDeleteHii ni ishara ya kuwa hawa jamaa ndugu zetu ni mzigo na hawabebeki!
-Wao ni mahodari wa 'kudeka' inasemekana wana CCM waliopo Zanzibari ktk Maskani mbali mbali za Matawi ya Vijiweni wanalelewa kwa gharama za Chama!,,,angali kitu kama hiki, hii ni Siasa au ndio nini?,,,mbona Maskani za Vijiwe vya Matawi ya Bara hakuna huduma hizi?
-Hawa watu ni Wachochezi sana na mabingwa nwa 'kususa' wanakuwa kama watoto wa mwisho kuzaliwa vile?
-Watu hawa wapo wazuri lakini wengi wao ni watenganishi pia hata huko Majuu wanawabagua Watanzania wengine wakijiona wao ni watu maalum na tofauti sana na wengine ktk Jamii yetu.
-Wengi wao wanajifanya wao ni Werevu zaidi kuliko Watanzania wengine na wanajiona wako faster zaidi.
-Tena afadhali Waunguja wana nafuu kuliko Wapemba ndio (michosho) zaidi!
-Kwa Wastani wengi wao hawa wenzetu ni 'kavu' sana na wana boa sana!