KWA WALE WA PENZI WETU NA WALEZI WAZAZI NA FAMILY WOTE TUNAWAKARIBISHA NDANI YA UKUMBI WA LAKKEGATA SKOLE 79B OSLO NORWAY TUTAKUWA NA SHEREHE ZA SIKU KUU YA PASAKA J-MOSSI 7-APRIL KUANZIA SAA 10 JIONI NI SHOW NA MUZIKI YA WATOTO NA SWAHILI FOOD MPAKA SAA 3 USIKU NI BURE,. BAADA YA WATOTO KWENDA MPAKA ASUBUHI NDO MOTO UTAWASHWA NA MADI JEEY WAKARI KAMA DJ PRED, DJ YUSUF A.K.A MARK 10.
HUMPHREY WOTE TOKA BONGO REMIX, NA DJ UNTEE TOKA NAIJA MIX.
KIINGILIO: 100 KR. ULINZI MKARI.
CONTACT:- 96872483 DJ PRED A.K.A ABDUL NO SURRENDER.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...