Familia ya Kanal   A.P.Mutta wa makao makuu ya jeshi upanga Dar es salaam tunatoa shukrani za dhati kwa uongozi wote wa jwtz maafisa askari watumishi wa umma jeshini familia zao wote  WANA BEFAO ,wana ukoo wote popote pale walipo majirani ndugu jamaa  na marafiki kwakutufariji na kwa misaada ya hali na mali mliotupatia ilikufanikisha msiba na mazishi ya  baba yetu mpedwa OMULANGIRA TAPETER LUGARABAMU (pichani) aliyefariki tarahe 10march katika hospital ya jeshi Lugalo na kuzikwa tarehe 14 march 2012 huko nyumbani Karagwe, Kagera 

Tunamuomba Mungu awabariki wote kwa wema na upendo mliotupatia katika kipindi chote cha majonzi  BWANA AMETO BWANA AMETWA JINA LAKE LIHIMIDIWE AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni sana ,yote ni mipango ya Mungu. ila tu nilikuwa nawaombeni ndugu zangu,kwamba tunapotoa matangazo ya kuondokewa na wapendwa wetu tuwe tunaweka na miaka yao walioishi, hii inatia changamoto kwa sisi tuliobaki,wenzetu wa mtoni miaka lazima iwepo,kama ni 60 au 90 au 100 na sisi angalau tujue je ?? tunaishi mpaka mwisho??.mna nasa

    ReplyDelete
  2. Wewe mdau wa kwanza, waweza kutumia macho yako kukisia. Huyu atakuwa na miaka 94. Maana ukiona wenzetu wa Kagera wanaanza kumtaja mtu kwa 'OMULANGIRA' juwa ana miaka zaidi ya 90.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...