Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu,akipanda mti aina mgwina katika chanzo kimajawapo cha maji katika mtaa wa matogoro chini manispaa ya songea jana wakati wa siku ya upandamiti kitaifa.
Meya wa manispaa ya Songea Charles Mhagama kushoto,akimuonesha mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambunu moja ya visima vya maji vinavyotumiwa na wakazi 800 wa mtaa wa matogorochini manispaa ya songea, wakati wa siku ya upandaji miti ambayo kimkoa ilifanyika wilayani songea jana, PICHA NA MUHIDIN AMRI
ankal nadhani hapo ni manispaa ya Songea mkoani Ruvuma na si mkoani Rukwa.
ReplyDeletemdau rm
Mkoani Ruvuma ankal.... duuuh chonde chonde
ReplyDelete