Kamanda Ras Makunja akipigisha wadau kwata
Christian Bakotessa aka Chris-B
 Kile Kikosi Kazi cha FFU ughaibuni aka Ngoma Africa band, kimepakua jikoni songi jipya "Uhuru wa habari" utunzi wake Kamanda Ras Makunja, akiimba kwa kushirikiana na kijana Christian Bakotessa aka Chris-B,ambaye pia ni mshambuliaji mkali wa solo gitaa (Mtutu),wimbo huo mpya umeshaanza kushambulia hewani.

 Pia unaweza kuusiskiliza na kama hakuna anae kupiga chabo basi serebuka kidogo, pia unaweza kusikiliza kitu kipya hiko katika FFU camp at www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kweli kazi hipo,ffu wanatisha yaani hakuna hata nafasi ya kumpuzika?ndio kusema haifiki hata miezi minne wanarusha nyimbo mpya? ni juzi tu walikua na CD ya miaka 50 ya uhuru,leo vyombo vya habari?
    Mbarikiwe

    ReplyDelete
  2. hi! kile kikamanda ketu,teh!teh,kimeibuka na hili jipya
    ffu wanatisha beat utafikiria risasi ffu wanatisha

    ReplyDelete
  3. Wana wa Ras Makunjas (FFU) huko Majuu ama kweli uwepo wenu huko sio kwa kubeba ma box ila ni kuendeleza Libeneke la Musiki !

    ReplyDelete
  4. kamanda anaonekana yupo makini
    safi sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...