![]() |
Kamanda Ras Makunja akipigisha wadau kwata |
![]() |
Christian Bakotessa aka Chris-B |
Kile Kikosi Kazi cha FFU ughaibuni aka Ngoma Africa band, kimepakua jikoni songi jipya "Uhuru wa habari" utunzi wake Kamanda Ras Makunja, akiimba kwa kushirikiana na kijana Christian Bakotessa aka Chris-B,ambaye pia ni mshambuliaji mkali wa solo gitaa (Mtutu),wimbo huo mpya umeshaanza kushambulia hewani.
Pia unaweza kuusiskiliza na kama hakuna anae kupiga chabo basi serebuka kidogo, pia unaweza kusikiliza kitu kipya hiko katika FFU camp at www.ngoma-africa.com
kweli kazi hipo,ffu wanatisha yaani hakuna hata nafasi ya kumpuzika?ndio kusema haifiki hata miezi minne wanarusha nyimbo mpya? ni juzi tu walikua na CD ya miaka 50 ya uhuru,leo vyombo vya habari?
ReplyDeleteMbarikiwe
hi! kile kikamanda ketu,teh!teh,kimeibuka na hili jipya
ReplyDeleteffu wanatisha beat utafikiria risasi ffu wanatisha
Wana wa Ras Makunjas (FFU) huko Majuu ama kweli uwepo wenu huko sio kwa kubeba ma box ila ni kuendeleza Libeneke la Musiki !
ReplyDeletekamanda anaonekana yupo makini
ReplyDeletesafi sana