FAMILA YA DAVID BULENGO NA EVELYNE RUGEMALILA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAO MPENDWA ISABELLA BENITA BULENGO (PICHANI) KILICHOTOKEA TEREHE 24-04-2012 KATIKA HOSPITAL YA AGA KHAN DAR ES SAALAM
HESHIMA ZA MWISHO NA IBADA YA MAZISHI VITAFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI MAKONGO JUU Tarehe 28-04-2012 KUANZIA SAA TISA ALASIRINA BAADAYE MAZISHI YATAFANYIKA NYUMBANI KWA BWANA NA BIBI JAMES RUGEMALILA
ZAB:16:12 NIMRUDISHIE BWANA NN KWA UKARIMU WAKE WOTE KWANGU ALIONITENDEA
Poleni sana wafiwa.
ReplyDeleteNi Rugemalira.
MUNGU NINAKUSHUKURU KWA UZIMA NA UHAI UNAOTUPA BABA. NAOMBA UWAPE NGUVU NA FARAJA WAZAZI WA MTOTO HUYU MPENZI ULIYEMTWAA.
ReplyDeleteMASKINI SIJUI KALIUMWA NINI? TUSAIDIE SISI WAKOSEFU TUJITAMBUE KWAMBA NI WASAFIRI DAIMA BABA. HATUWEZI KUJADILI MAAMUZI YAKO BABA KWANI UNAPOUMBA HATUKUKAA KIKAO KUJADILI. UUMBAJI NI ZAWADI KUTOKA KWAKO NA UKIITAKA INAKURUDIA BILA KUJALI UMRI.
NI KAMA NAMUONA MTOTO HUYU AKISHANGILIA NA MALAIKA OOOH NA KUKUIMBIA.POLE MAMA MZAZI KWA KUPOTEZA MTOTO MZURI KIMWILI ILA KIROHO BADO ANAISHI AKISHANGILIA NA MALAIKA DAIMA.MUNGU AWATIE NGUVU.
Poleni sana familia nzima, Mungu awajalie nguvu katika kipindi hiki kigumu,
ReplyDeletepoleni wazazi isabela. Mungu mwenyewe anaweza kuwatia nguvu
ReplyDeleteMungu amrehemu jamani huyu mtoto mzuri, mungu awape faraja wazazi na wengine wote walioguswa na msiba huu.Misiba yote inauma lakini daaah msiba wa mtoto unauma sana.
ReplyDeleteMpendwa Evelyne pole sanaa,mwenyezi Mungu mwenye rehema akupe nguvu.Yaani nimeumia sana pole sana mama.
ReplyDeleteMungu awatie nguvu wazazi wa mtoto huyu mpendwa...inauma saana ila muweza ni aliye juu.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa Mungu awape ujasiri wa kulipokea hili kwani ni kwa mapenzi yake sisi tuzidi kumuoombea kwa Mungu apumzike kwa amani
ReplyDeletePoleni sana wazazi wa mtoto huyu. E Mungu, tunajua kazi yako aina makosa. Tunakuomba baba uwatie nguvu wazazi hawa katika kipindi hiki kigumu. Pole sana mama mzazi, jikaze.
ReplyDelete