KAMPUNI YA ALGO VENTURES YENYE MAKAO MAKUU YAKE DAR ES SALAAM MWENGE
INAHITAJI SECRETARY


SIFA ZA MWOMBAJI:
1.AWE NA UWEZO WA KUJITAMBULISHA KWA KINGEREZA
2. AWE AMESOMEA COZ YA BIASHARA AU SECRETARIAL COZ
4. AWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 24
5. AWE NA UWEZO WA KUFANYA KAZI KWA MOYO
6.AWE NA ELIMU ISIYOZIDI CHETI
7. AWE MSICHANA
AMBAYE ANA VIGEZO HIVYO TUWASILIANE KUPITIA 0714667175
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI  TAREHE 04/04/2012

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Huo utakuwa ni ubaguzi maana madume pia wanaweza usekretari!!

    ReplyDelete
  2. Ubaguzi wa umri na jinsia. Sasa, ukipata mtu mwenye elimu zaidi ya cheti halafu anaitaka hiyo kazi siutakuwa umejizibia mwenyewe? Kwanini usitumie lugha kama "elimu yake isiwe chini ya cheti?".

    ReplyDelete
  3. Hakuna secretary mwenye elimu isiyozidi cheti... huyo atakuwa ni copy typist.

    ReplyDelete
  4. Elimu isiyozidi cheti ndio nini??

    ReplyDelete
  5. "awe na umri usiozidi miaka 24" duh ubaguzi wa jinsia tena huo. Bongo bwana everything goes!

    ReplyDelete
  6. Salam
    Kwakweli naomba muweka tangazo la kazi uwe wazi. Kama anaehitajika ni secretary kwanini una vigezo visivyo na msingi?
    Kusema umri usizidi miaka 24 ni ubaguzi wa umri
    Kusema awe msichana ni ubaguzi wa kijinsia
    kusema awe na elimu isiyozidi cheti unamaanisha nini hasa?
    Naomba msemaji wa kampuni ya Algo Venture utoe ufafanuzi hili ni tangazo la kazi au?

    ReplyDelete
  7. sasa ukiwa dume utatongozwa vp

    ReplyDelete
  8. ndugu zangu naomba tuwe waelewa najua wale tangazo ambao lina wahusu satakuwa wameelewa ila wasio husika ndo wanakosoa, je ni kazi ngapi wana hajiri bila kutangaza? sa kampuni hii kutangaza imefanya vibaya? jaribu kutumia akili kampuni kuajiri msichana au mvulana ni matakwa ya kampuni na hakuna mtu wa kuipangia kampuni na ukifika wakati wa kuhitaji mvulana watatangaza hii ndo inasababisha watu wengi wasitangaze kazi na badala yake watumie njia za panya fikilia kama watanzania mwenzio akifanya jambo jema kama hili la kuwapa wenye sifa ili wa apply na nyinyi pia mpeni moyo sio kujifanya mabingwa wa kukosoa kama tangazo halikuhusu soma na uendelee na yanayo kuhusu kwa nijia hii watu wataacha kutoa matangazo yao ya hajira na wata ajiri wanao wajua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...