KAMPUNI YA ALGO VENTURES YENYE MAKAO MAKUU YAKE DAR ES SALAAM MWENGE
INAHITAJI SECRETARY
SIFA ZA MWOMBAJI:
1.AWE NA UWEZO WA KUJITAMBULISHA KWA KINGEREZA
2. AWE AMESOMEA COZ YA BIASHARA AU SECRETARIAL COZ
4. AWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 24
5. AWE NA UWEZO WA KUFANYA KAZI KWA MOYO
6.AWE NA ELIMU ISIYOZIDI CHETI
7. AWE MSICHANA
AMBAYE ANA VIGEZO HIVYO TUWASILIANE KUPITIA 0714667175
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 04/04/2012
INAHITAJI SECRETARY
SIFA ZA MWOMBAJI:
1.AWE NA UWEZO WA KUJITAMBULISHA KWA KINGEREZA
2. AWE AMESOMEA COZ YA BIASHARA AU SECRETARIAL COZ
4. AWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 24
5. AWE NA UWEZO WA KUFANYA KAZI KWA MOYO
6.AWE NA ELIMU ISIYOZIDI CHETI
7. AWE MSICHANA
AMBAYE ANA VIGEZO HIVYO TUWASILIANE KUPITIA 0714667175
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 04/04/2012
Huo utakuwa ni ubaguzi maana madume pia wanaweza usekretari!!
ReplyDeleteUbaguzi wa umri na jinsia. Sasa, ukipata mtu mwenye elimu zaidi ya cheti halafu anaitaka hiyo kazi siutakuwa umejizibia mwenyewe? Kwanini usitumie lugha kama "elimu yake isiwe chini ya cheti?".
ReplyDeleteHakuna secretary mwenye elimu isiyozidi cheti... huyo atakuwa ni copy typist.
ReplyDeleteElimu isiyozidi cheti ndio nini??
ReplyDelete"awe na umri usiozidi miaka 24" duh ubaguzi wa jinsia tena huo. Bongo bwana everything goes!
ReplyDeleteSalam
ReplyDeleteKwakweli naomba muweka tangazo la kazi uwe wazi. Kama anaehitajika ni secretary kwanini una vigezo visivyo na msingi?
Kusema umri usizidi miaka 24 ni ubaguzi wa umri
Kusema awe msichana ni ubaguzi wa kijinsia
kusema awe na elimu isiyozidi cheti unamaanisha nini hasa?
Naomba msemaji wa kampuni ya Algo Venture utoe ufafanuzi hili ni tangazo la kazi au?
sasa ukiwa dume utatongozwa vp
ReplyDeletendugu zangu naomba tuwe waelewa najua wale tangazo ambao lina wahusu satakuwa wameelewa ila wasio husika ndo wanakosoa, je ni kazi ngapi wana hajiri bila kutangaza? sa kampuni hii kutangaza imefanya vibaya? jaribu kutumia akili kampuni kuajiri msichana au mvulana ni matakwa ya kampuni na hakuna mtu wa kuipangia kampuni na ukifika wakati wa kuhitaji mvulana watatangaza hii ndo inasababisha watu wengi wasitangaze kazi na badala yake watumie njia za panya fikilia kama watanzania mwenzio akifanya jambo jema kama hili la kuwapa wenye sifa ili wa apply na nyinyi pia mpeni moyo sio kujifanya mabingwa wa kukosoa kama tangazo halikuhusu soma na uendelee na yanayo kuhusu kwa nijia hii watu wataacha kutoa matangazo yao ya hajira na wata ajiri wanao wajua
ReplyDelete