Jaji wa kusaka vipaji vipya kwa wasanii wachanga wa jijini Mwanza,kufuatia Ziara ya washindi wa Tuzo za  Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012, Joseph Haule a.k.a Prof J akiwasihi washiriki hao kuwa makini na kile kinachotakiwa kufanyika na si mambo ya kujaribu jaribu.Zoezi hilo linaendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Klabu ya Villa Park,Jijini Mwanza.Majaji wengine,Queen Darleen (pili kulia),Juma Nature pamoja na Henry Mdimu.
Washiriki wa zoezi la usakaji wa vipaji vipya kwa wasanii wachanga wa jijini Mwanza,kufuatia Ziara ya washindi wa Tuzo za  Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012 wakionyesha uwezo wao mbele ya Majaji.
Baadhi ya Washiriki wa Zoezi hilo wakisubiria kuitwa na majaji kwa ajili ya kufanyikwa usaili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...