Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wakurya na wahaya watauwa mtu hizo bei!

    ReplyDelete
  2. SUMATRA ipo wapi?

    Badala ya kuwa wao ndio Mamlaka wanaopanga bei za Nauli kuweka Bango lao lenye nembo yao leo wanaacha hawa Mawakala wanaandika kwa Mkono na kuhatarisha uwezekano wa kuandika nauli zisizo halisi wazitakazo wao.

    ReplyDelete
  3. what do they mean by semi luxury and luxury, kuna vitanda ndani.

    ReplyDelete
  4. mdau UbungoApril 04, 2012

    Kusema kweli hilo bango linawekwa na wajanja na kwa muda mfupi sana ili kuchanganya abiria na hizo nauli ni za kuchakachua kwani sio za SUMATRA.

    Kama mdaa niliwahi kupeleka malalamiko SUMATRA na wanapokuja bango linakuwa tayari limefichwa bali kuna siku niliwalengesha wakalikuta na wakaondoka nalo na haikupita muda wakaweka jingine!

    ReplyDelete
  5. Mdau wa Ubungo Anonymous wa Wed Apr 04, 07:47:00 AM 2012

    Kwa idadi ya Wasafiri Mikoani kwa siku nzima Ubungo,

    Kama hizo sio nauli halali za SUMATRA duhhh hao Wajanja wachakachuaji watakuwa na ATM Machine ya maana kuwaingizia Umilionea!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...