Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Hochschule Neu –Ulm kutoka nchini Ujerumani, Chepkoilel cha Nairobi Kenya na Chuo Kikuu Mzumbe Tanzania, wakiwa wasaidizi wao wakipongezana baada ya kusainiwa mkataba wa makubaliano juu ya kuendesha wa Kozi ya Shahada ya Pili ya Utawala , Menejimeti ya shughuli za Afya (MBA) ambayo imewalenga wafanyakazi wenye sifa wa sekta ya Afya wakiwa kazini kupitia programu ya mfumo wa kusoma kwa saa za ziada, hafla hiyo ilifanyika Mei 23, mwaka huu katika Chuo Kikuu Mzumbe.
Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Hochschule Neu –Ulm kutoka nchini Ujerumani, Chepkoilel cha Nairobi Kenya na Chuo Kikuu Mzumbe cha Tanzania, wakisaini mkataba wa makubaliano juu ya kuendesha wa Kozi ya Shahada ya Pili ya Utawala , Menejimeti ya shughuli za Afya (MBA) ambayo imewalenga wafanyakazi wenye sifa wa sekta ya Afya wakiwa kazini kupitia programu ya kusoma saa za ziada, hafla iliyofanyika Mei 23,mwaka huu Chuo Kikuu Mzumbe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...