Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal na Mama Asha Bilal,wakiingia kwenye ukumbi wa tafrija ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais wa Botswana Lt General Seretse Khama kwa viongozi wakuu wa Nchi za Afrika waliohudhuria mkutano wa siku mbili kuhusu maendeleo endelevu ya Bara la Afrika Nchini Gaborone Botswana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal wakiwa kwenye tafrija iliyoandaliwa na Rais wa Botswana Lt. General Seretse Khama kwa ajili ya viongozi wakuu wa Nchi za Afrika waliohudhuria mkutano kuhusu maendeleo endelevu kwa Bara la Afrika
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akizungumza na baadhi ya wajumbe waliohudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu maendeleo endelevu kwa bara la Afrika unaoendelea mjini Gaborone Botswana.
Wasanii wa kikundi cha ngoma za utamaduni nchini Botswana wakitumbuiza kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu maendeleo endelevu ya Bara la Afrika unaoendelea leo mjini Gaborone Botswana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...