Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam (kushoto) akipanda Mti katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.Katikati ni Muwakilishi wa TBL Kanda ya Kati,Nickson Tesha na kulia ni Mmoja wa Wanafuzi wa Cho hicho,Anne Sanga.
Muwakilishi wa Kampuni ya Bia nchini Kanda ya Kati,Nicksomn Tesha akipanda Mti katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.
Mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha U-DOM,Josephat Lukaza akipanda Mti katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...