Leo ni He[i Besdei ya kuzaliwa  AMINA CHENGO,  mtangazaji wa  Redio One/Itv na my twin brother wake OMAR CHENGO...Globu ya Jamii inawatakia mapacha hawa Besdei njema ya kuzaliwa kwao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2012

    HAPPY BIRTHDAY EMMY C,MOLAAWAJAALIE MAISHA MEMA MAZURURI YENYE KHERI NANYI INSHALLAH.
    mdau washington

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2012

    Nwatakieni kila lakheri wadogo zangu Amina na Omar subhana awajaalie maisha marefu yenye furaha tele inshallah

    Rama Mpy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...