Napenda kuwataarifu na kuwakaribisha katika ibada ya kumbukumbu ya miaka 2 toka mama yetu mzazi afariki dunia,MA-JOHNMARY KOKULAMUKA RWEHABURA,Ibada itaanza saa 2.30 asubuhi katika kanisa Katoliki la Mtakatifu Kamili lililopo Yombo Kiwalani siku ya jumapili tarehe 27/05/2012,kufika kwako ndio mafanikio ya kumbukumbu hii.

Vile vile upatapo ujumbe huu nakuomba umtaarifu rafiki,ndugu na jamaa yeyote anaetufahamu ili ajumuike nasi katika ibada hii ya misa takatifu.

Nawashukuru na ninawatakia siku njema.

Karibuni sana.

Mama alitutoka lakini tupo nae kiroho,mungu amlaze mahali pema peponi.Amen.

kwa msaada zaidi na maelezo kamili wasiliana na:-

MONTANIUS RWEHABURA 0754 095 194 / 0787 095 194

INNOCENT RWEGASHA 0754 070 134

ROSE KAYOLA 0754 000 201.

ELIAS KAYOLA 0756 454 568

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...