MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI YA MKUTANO WA AFDB AMBAO UNATARAJIWA KUFUNGULIWA SIKU YA JUMATATU JIJINI ARUSHA,BW NGOSHA MAGONYA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA LEO JUU YA MKUTANO HUO.KATIKA MKUTANO HUO NA WAANDISHI WA HABARI,MWENYEKITI HUYO AMESEMA KUWA MKUTANO HUO UTATUMIA GARAMA YA SHILINGI BILIONI 12 AMBAZO ZITAENDA SANJARI NA UJENZI NA UKARABATI WA KITUO CHA KIMATAIFA CHA MIKUTANO AICC.
BAADHI YA WANAKAMATI WA MKUTANO HUO WAKIJADILIANA MAMBO MBALI MBALI.PICHA NA MERY AYO WA GLOBU YA JAMII,ARUSHA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...