Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib Bilal (katikati) akizungumza na Makamu wa Rais wa For Conervation Policy kulia na Waziri wa Fedha wa Kenya Mhe. Robinson Njeru baada ya kumalizika kwa mkutano wa siku mbili kwa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu maendeleo endelevu kwa nchi za bara la Afrika uliomalizika mjini Gaborone Botswana jana jioni.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal akizungumza na Watanzania wanaishi Nchini Botswana jana.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishio nchini Botswana baada ya kuzungumza na Watanzania hao jana jioni mjini Gaborone Botswana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...