Katibu Mkuu wa CCM, Ndg.Wilson Mukama akizungumza na Waziri,Prof Mark Mwandosya nyumbani kwake Bahari beach jijini Dar es Salaam leo wakati alipomtembelea kwa kumjulia hali.Katikati ni Mke wa Waziri Mwandosya,Mama Lucy Mwandosya.Picha ya chini (kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa KASHWASA (Kahama Shinyanga),Ndg. Clement Kivegalo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2012

    Pole sana Proffesor Mwandosya,Mungu yupo.Atakutetea na kukupiginania.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2012

    Dah pole sana Prof.. Mungu awe nawe Daima.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2012

    POle Sana Prof Mark.Tunakupenda sana! Mwenyezi Mungu akupe nguvu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2012

    Pole sana Prof Mark Mwandosya,Mwenyezi Mungu akupe nguvu,tunakupenda sana!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2012

    Prof Mark Mwandosya pole sana.

    ReplyDelete
  6. POle sana mpiganaji! Mungu atakuponya tuungane tena.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2012

    Pole Profesa Mungu akujalie upone na akupunguzie maumivu na pia akupe amani katika mwili, akili na roho.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2012

    Ugua pole, prof. Get Well soon.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...