Katibu Mkuu wa CCM, Ndg.Wilson Mukama akizungumza na Waziri,Prof Mark Mwandosya nyumbani kwake Bahari beach jijini Dar es Salaam leo wakati alipomtembelea kwa kumjulia hali.Katikati ni Mke wa Waziri Mwandosya,Mama Lucy Mwandosya.Picha ya chini (kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa KASHWASA (Kahama Shinyanga),Ndg. Clement Kivegalo
Home
Unlabelled
Katibu Mkuu wa CCM amjulia hali Prof. Mwandosya leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Pole sana Proffesor Mwandosya,Mungu yupo.Atakutetea na kukupiginania.
ReplyDeleteDah pole sana Prof.. Mungu awe nawe Daima.
ReplyDeletePOle Sana Prof Mark.Tunakupenda sana! Mwenyezi Mungu akupe nguvu.
ReplyDeletePole sana Prof Mark Mwandosya,Mwenyezi Mungu akupe nguvu,tunakupenda sana!
ReplyDeleteProf Mark Mwandosya pole sana.
ReplyDeletePOle sana mpiganaji! Mungu atakuponya tuungane tena.
ReplyDeletePole Profesa Mungu akujalie upone na akupunguzie maumivu na pia akupe amani katika mwili, akili na roho.
ReplyDeleteUgua pole, prof. Get Well soon.
ReplyDelete