Home
Unlabelled
KUMBUKUMBU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BABA HAKUNA SIKU IPITAYO KWETU BILA KUKUKUMBUKA KWA UPENDO NA UKARIMU WAKO, USHAURI MWEMA, MSIMAMO BORA NA BUSARA ZAKO KATIKA KUTULEA NA KUTUUNGANISHA SISI WANAO NA FAMILIA PAMOJA, BUSARA ZAKO ZIMEKUWA DIRA NA NURU KATIKA MAISHA YETU. TUNAENDELEA KUKUOMBEA NA TUNAENDELEZA YALIYO MEMA KWA WAJUKUU ZAKO.
ReplyDeleteRAHA YA MILELE UMPE EEEH BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI. – AMINA
DR. NAFTALI S. MSHANA
UFSM