Home
Unlabelled
kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi - bwawa oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
POLE MJOMBA HUHIDIN ISSA MICHUZI:
ReplyDeleteWewe na wenzeko acheni kujikakamua,kujikaza kisabuni na kujifariji, safari hii ninyi hamna bahati kabisa!
Wallahi mabata ushungu.
1.Ulaya-BWAWA ZIIIIIIII !!!!
2.Tanzania-YANGA ZIIIIII !!!
Hapa ndio utaamini kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza !
dUH WEWE WA JUU umenifurahisha sehemu moja , ila hapo kwenye YAnga ndio ugomvi na sikubaliani na wewe! JAPO namwambia Ankal, hata mbadili uzi ...uzi ni ule ule ...mtafungwa na bwawa litabaki kuwa ZIIIII... ila nimependa angalau wamepata jezi ya YAnga ! halafu wewe ulosema YAnga zii wewewh! bahati yako!
ReplyDeleteJezi zinafanana na za enzi zetu tulioshuhudia kombe la Gossage kwa nchi za Kenta, Uganda, Zanzibar na Tanganyika au zile walizokuwa wakivaa wachezaji enzi za 'Sunlight cup' hapa Dar es Salaam!! Hongera sana kwa uzamani.
ReplyDeleteSubira huvuta kheri! Tutarudi kwenye zama zetu ankal! Yu wili neva woku aloni!
ReplyDeleteankal yeye ni Raizon. Na Bwawa la Maini at least kafanya kitu CARLING CUP. Na ametinga fainali Ya FA Cup. Wengine wameshatoka patupu. Si mnawajuwa.
ReplyDeleteHii timu baada ya muda mfupi itahamia katika jumba la makumbusho, tafuteni mbadala wake mnaweza kuchupia hata Man C.
ReplyDeleteSasa magli matano si ungelinyamaza. Muungwana akivuliwa nguo huchutama.
ReplyDeleteWachovu wakubwa.
ReplyDeleteCo best club in the world. Nyingine YANGA AFRIKA. Siku zikicheza hizi mbili ntachanganyikiwa!! YWNA!
ReplyDeleteKwani hii ni timu gani mbona sitambui mchezaji hata mmoja hapa nami ni shabiki namba moja wa mpira wa Ulaya. Naomba mnisaidie jamani, Man Utd, hawajachoka kihivi, ni nani hawa?
ReplyDeletewakati jumuiya za pamoja jee hili bwawa halina mweusi?
ReplyDeletehaya sasa ndugu zangu watanzania na ulimbukeni wenu, jikamueni vijisenti mlivyonavyo mnunue uzi huo na nyinyi muonekane aptudeti na muitajirishe kampuni ya Liverpool FC na wanahisa wake halafu muendeleze nyimbo yenu 'mpira bongo bwanaa'!!
ReplyDelete