FLORA Chamtepa (22) akipimwa afya kwa hiyari na Muhudumu wa afya , Anna Katumbo katika uzindizi wa mkakati wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa upimaji wa afya wa hiyari uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Msakila mjini Sumbawanga jana wakati mfuko huo ukisherehekea miaka 10 ya Kujituma na Kuaminiwa
MWANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Msakila Elizabeth Tweve akipimwa afya kwa hiyari na Muhudumu wa afya , Anna Katumbo katika uzindizi wa mkakati wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa upimaji wa afya wa hiyari uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Msakila mjini Sumbawanga jana wakati mfuko huo ukisherehekea miaka 10 ya Kujituma na Kuaminiwa, huku wanafunzi wengi wa shule hiyo wakisubiri zamu yao
MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Mazwintiswe , Winfrida Pius (11) akipimwa urefu na Muhudumu wa afya , Violet Simba kabla ya akipima afya yake kwa hiyari katika uzindizi wa mkakati wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa upimaji wa afya wa hiyari uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Msakila mjini Sumbawanga jana huduma hiyo inatolewa bure na mfuko huo ambao unasherehekea miaka 10 ya Kujituma na Kuaminiwa, Picha na Peti Siyame
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...