Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2012

    POLE MJOMBA HUHIDIN ISSA MICHUZI:

    Wewe na wenzeko acheni kujikakamua,kujikaza kisabuni na kujifariji, safari hii ninyi hamna bahati kabisa!

    Wallahi mabata ushungu.

    1.Ulaya-BWAWA ZIIIIIIII !!!!
    2.Tanzania-YANGA ZIIIIII !!!

    Hapa ndio utaamini kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza !

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2012

    dUH WEWE WA JUU umenifurahisha sehemu moja , ila hapo kwenye YAnga ndio ugomvi na sikubaliani na wewe! JAPO namwambia Ankal, hata mbadili uzi ...uzi ni ule ule ...mtafungwa na bwawa litabaki kuwa ZIIIII... ila nimependa angalau wamepata jezi ya YAnga ! halafu wewe ulosema YAnga zii wewewh! bahati yako!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2012

    Jezi zinafanana na za enzi zetu tulioshuhudia kombe la Gossage kwa nchi za Kenta, Uganda, Zanzibar na Tanganyika au zile walizokuwa wakivaa wachezaji enzi za 'Sunlight cup' hapa Dar es Salaam!! Hongera sana kwa uzamani.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2012

    Subira huvuta kheri! Tutarudi kwenye zama zetu ankal! Yu wili neva woku aloni!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2012

    ankal yeye ni Raizon. Na Bwawa la Maini at least kafanya kitu CARLING CUP. Na ametinga fainali Ya FA Cup. Wengine wameshatoka patupu. Si mnawajuwa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2012

    Hii timu baada ya muda mfupi itahamia katika jumba la makumbusho, tafuteni mbadala wake mnaweza kuchupia hata Man C.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 12, 2012

    Sasa magli matano si ungelinyamaza. Muungwana akivuliwa nguo huchutama.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 12, 2012

    Wachovu wakubwa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 12, 2012

    Co best club in the world. Nyingine YANGA AFRIKA. Siku zikicheza hizi mbili ntachanganyikiwa!! YWNA!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2012

    Kwani hii ni timu gani mbona sitambui mchezaji hata mmoja hapa nami ni shabiki namba moja wa mpira wa Ulaya. Naomba mnisaidie jamani, Man Utd, hawajachoka kihivi, ni nani hawa?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 12, 2012

    wakati jumuiya za pamoja jee hili bwawa halina mweusi?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 13, 2012

    haya sasa ndugu zangu watanzania na ulimbukeni wenu, jikamueni vijisenti mlivyonavyo mnunue uzi huo na nyinyi muonekane aptudeti na muitajirishe kampuni ya Liverpool FC na wanahisa wake halafu muendeleze nyimbo yenu 'mpira bongo bwanaa'!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...