Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga akiwa jukwaani akiimba moja ya nyimbo zake katika shoo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Cafe Rendez-vous jijini Oakland California,Marekani.
Linah akiwachengua mashabiki wake katika ukumbi wa Cafe Rendez-vous jijini Oakland California
Lina katika picha ya pamoja na shabiki wake aliyejulikana kwa jina moja Teddy
Linah akipozi ndani ya Hammer mara baada ya kumaliza show yake.
AH inamaana show hii ilikua nyumbani kwa mtu ?
ReplyDeletehaa haaa haaa jamani kweli wabongo kwa uzushi eti akiwa na mashabiki wake wakati hapo ni sebuleni tu panaonekana wala sio ukumbi,si bora arudi tu aje dar live jamani haya mambo ya kishamba sana eti uko nje unafanya shoo sebuleni au uani kw watu yuache ujinga
ReplyDeleteLina utaharibikiwa sasa hivi; ipende nchi yako, ipende jadi yako wamarekani wangependa na kufurahi kukuona ukiwa ki-afrika zaidi
ReplyDeleteWasanii wa kibongo ni waongo wanadanganya kuwa wanakwenda kutumbuiza mtoni kumbe wanakwenda kutumbuiza kwenye nyumba za watu au kwenye pub za waafrika ambazo hata azijulikani.
ReplyDeleteTatizo wasanii wa nyumbani kuimba kwa kiswahili akutawafikisha kwenye anga za kimataifa labda kwa afrika njia nzuri ni vizuri muuanze kujifunza kuimba kwa kiingereza kama kweli mnataka masoko ya kimataifa, zaidi ya hapo mtabakia kuimba kwenye pub huku ulaya. Jaribuni kubadilika ili muuweze kupata mapromota wa kimataifa na muweze kutumbuiza kumbizenye hadhi.
Pole dada Lina kwa kutumbuiza sembuleni.
Mdau UK
Mdau unayesema ni lazima wasanii wetu waimbe kiingereza wala sio kweli, jana Diamond kapiga bonge la show kwa kiswahili ndani ya BBA na watu wakaburudika, kuna nyimbo za kihindi, kifaransa, kizulu na lugha nyingine kibao watu hatuelewi kinachoimbwa ila ngoma inakubalika, sipingi wasiimbe kiingereza ila napinga wewe kusema ni lazima waimbe kiingereza kwa wao kukubalika hilo hapana hata kwa kiswahili watakubalika tu.
ReplyDeleteWaandaaji wa show angaliaeni mnawatia aibu wasanii wetu ni bora mkafanya nao projekt nyingine kuliko kulazimisha show zisizoeleweka.
ReplyDeleteSi bora kufanya show Dar live kuliko kufanya show nyumbani kwa mtu kisa nje.Show za nyumbani siku hizi zipo bomba na msanii anaeshimika.
wadau msifanye hivyo, tupendane jamani amnataka awe Dar live kila siku? hata kama msanii anaitwa na familia ya juu kama inamlipa aende kibongo bongo hamna ucelebrate. celebrate anaishi uswazi, isitoshe watanzania wachache sana wananunua kazi original. mnyonge mnyongeni jamani lakini haki yake mpeni. Much respect Linah.
ReplyDeleteWABONGO wacheni hizo,kama analipwa hata ikiwa chooni imba simjui huyu dem lakini wabongo mnapenda kuua sana,ukiwa na mahela star yoyote anaweza kuja living room yako kuimba
ReplyDelete