Mshindi wa taji la Redd's Miss Tabora 2012,Sarah Paul (katikati) akiwa na washindi wengine wawili Glory Mongi (kulia) na Alice Amour (kushoto) mara baada ya kufanikiwa kutawazwa washindi wa taji hilo na kufanikiwa kuingia katika kinyanganyiro cha kanda kuelekea kwenye fainali ya Redds Miss Tanzania 2012.
Mgeni Rasmi katika Shindano la Redd's Miss Tabora 2012 ambaye ni Katibu katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Stephan Bushir (katikati) akimkabidhi zawadi ya fedha tasmim Mshindi wa taji la Redds Miss Tabora 2012,Sarah Paul.Kulia ni Mratibu wa Shidano hilo,Mgalula Fundikira.
Washiriki wa Redd's Miss Tabora 2012.
Jamani....aaaargh!
ReplyDelete