Wajasimali pamoja na wadau wa mpango wa Fanikiwa kibiashara wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kubadhiwa kwa mfano wa hundi yenye jumla kiasi cha zaidi ya milioni 250 ambapo wajasimali hao ndio walioweza kufikia malengo yao chini ya mpango huo ambao upo chini ya sekta binafsi hapa nchini (TPSF),katika hafla fupi iliyofanyika leo Jijini Arusha.
Mfano wa hundi ambayo wamepewa wajasiamali hao ambao wapo 86 mapema leo jijini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2012

    maneno ya kiasi tofauti na tarakimu katika kibox au ndo changa la macho? Inamaana benki imeajiri watu wasiyo makini?sasa sahihi ni ipi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2012

    hivi kila siku Arusha Arusha mbona sisikii haya mambo yanafanyika mtwara? hii nchi hii kuna ukanda saana hii na watu wa sehemu fulani wanaonekana bora kuliko wa sehemu nyingine ipo siku itafahamika

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2012

    nakuunga mko mdau wa hapo. vile vile hata kwenye hicho kibox haitakiwi kuandika neno la million. Kwani inatakiwa tarakimu tu.

    ni hayo tu

    ni mimi

    Mr Nyamaimewahi Kunikabashingoni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...