Mkuu wa Wilaya ya Kilosa , Mkoa wa Morogoro, Halima Dendego ( aliyesimama) akisoma hotuba yake kwa viongozi wa madhehabu ya dini walioshiriki Mafunzo ya kupambana na Rushwa na Miundombinu ya Maadili kwa viongozi wa dini Mei 8, mwaka huu mjini hapa ,viongozi hao waliotoka Mikoa ya Dodoma, Singida, Iringa na Morogoro ( wapili kutoka kulia) ni Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Morogoro, Stella Mpanju na wa( kwanza kulia) wengine wa kwanza kulia pamoja na mwingine kushoto ni Maofisa wa Takukuru Makao makuu
Katibu wa Bakwata Wilaya ya Dodoma , Ustaadh Mussa Kazimiry, ( kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Bakwata Wilaya hiyo, Sheikh Zidikheri Swedi ( kushoto) wakiomba dua pamoja na viongozi wemngine walioshiriki Mafunzo ya kupambana na Rushwa na Miundombinu ya Maadili kwa viongozi wa dini Mei 8, mwaka huu mjini hapa Viongozi hao wa madhahabu mbalimbali waliotoka Mikoa ya Dodoma, Singida, Iringa na Morogoro, mafunzo hayo yalidhaminiwa na kufadhiliwa na Takukuru
Viongozi wa Madhehabu ya Dini kutoka Mikoa ya Dodoma, Singida, Iringa na Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Halima Dendego ( wasita kutoka kushoto) na baadhi ya Maofisa wa TAKUKURU wa Mkoa wa Morogoro na Makao Makuu mara baada ya Mkuu wa Wilaya hiyo ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mvomero na Morogoro kufungua mafunzo ya Rushwa na Miundombinu ya Maadili kwa Viongozi wa Dini kutoka Mikoa hiyo Mei 8, mwaka huu mjini Morogoro.
Picha zote mdau wa Morogoro John Nditi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...