Mfungaji wa bao la kwanza kati ya matatu ya Manchester City dhidi ya Queens Park Rangers Pablo Zabaleta akifurahia. Man City wamekuwa mabingwa baada ya miaka 44  na dakika 94 ya kusubiria. Mzee wa Big G hoi!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. daaah inauma xana cause imekula kwe2 ila poa 2takutana msimu hujao

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2012

    hujao au ujao?
    kiswahili kigumu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2012

    Mdau wa kwanza anachafua kiswahili. Mimi hakuna kinachonikera kama wapumbavu wanaotumia 'x' kumanisha 's'. Na huyo wa kwanza na mpumbavu mmojawapo. Wapi na wapi 'xana' ikawa 'sana'.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2012

    Mzee wa Big G jana katafuna jiwe!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2012

    Hongera Baloteli, ndiye aliyebadilisha mpira baada ya kuingia. Wachezaji wengine walikwisha kosa mbinu za kupiti basi la QPR.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2012

    Ushindi wa Man C,

    Imejidhihirisha ya kuwa kila Ngariba nae ana Ngariba wake!

    Huyo anayejulikana anakata wenzie inafikia siku anakutana na aliyemkata yeye!

    Man U Ngariba wake ni Man C !

    Mpo hapo?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2012

    uwezi, kutegemea ubigwa kwa kuvu za mwenzio,man U hoi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...