Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania,Jaji Buxton Chipeta akizungumza na Mahakimu, Wenyeviti wa Mabaraza ya Wilaya ya Ardhi na Nyumba na Madalali wa Mahakama katika warsha ya kupitia Ripoti ya Mfumo wa Haki za Madai leo jijini Dar es Salaam.katikati ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Agnes Mgeyekwa na kulia ni Mratibu wa Mradi wa BEST Athanasia Soka.
Washiriki wa Warsha ya mapitio ya Ripoti ya Mfumo wa Haki za Madai ambao ni Mhakimu, Wenyeviti wa Mabaraza ya Wilaya ya Ardhi na Nyumba pamoja na Madalali wa Mahakama wakimsikiliza Jaji Mstaafu Chipeta.
Ofisa Sheria Mkuu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Anjela Shila (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kujadili Mapitio ya Ripoti ya Mfumo wa Haki za Madai Tanzania.
Baadhi ya washiriki walioko mkoani Mbeya nao wakipitia na kujadili Ripoti hiyo (Picha na Munir Shemweta wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2012

    Vikao viiingi,utendaji zero!nadhani mwaka wa fedha unaishia hivyo lazima pesa zilizobaki ziishe kwa namna yoyote.
    Mungu ibariki Bongo land....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...