Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirikia,Mohammed Muya (katikati) akifungua bahasha aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya TCB , Dk. Eva Sinare (kushoto) ili kuona kilichpo ndani yake muda mfupi baada ya kufungua mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa sekta ya Kahawa nchini,ulioanza jana katika Hoteli ya Nashera,Mkoani Morogoro.
Ofisa Mauzo na Masoko wa Benki ya CRDB Tawi la Morogoro,Janneth Chilambo (kushoto) akitoa maaelezo kwa mteja wa CRDB aliefika kwenye banda la benki hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hoteli ya Nashera ya Mjini Morogoro wakiangalia aina mbalimbali za Kahawa.
Baadhi ya wadau wa sekta ya Kahawa wakiwa nje ya ukumbi wa mikitano wakibadilishana mawazo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirikia Mohammed Muya ( wasita kulia waliokaa) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya TCB,Dk. Eva Sinare (wa nne kushoto waliokaa) pamoja na wadau wa sekta ya kahawa waliohudhulia Mkutano Mkuu wa tatu wa Sekta hiyo,ulioanza jana katika Hoteli ya Nashera,Mkoani Morogoro.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii,Morogoro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...