HAYATI WILLIAM WIRON NGODOKI

Leo umetimiza mwaka mmoja tangu ututoke ghafla. 

Unakumbukwa sana na mkeo mpendwa Mary Caroline Ngodoki, watoto wako, wajukuu zako, mama yako, Mkweo, wadogo zako, Ndugu, Jamaa na Marafiki.

Raha ya milele umjalie Ee Bwana, 
na mwanga wa milele umwangaze. 
Apumzike kwa amani.
AMINA
 2 Timotheo 4: 7-8

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Agnes NyamwizaMay 12, 2012

    Missing you dad, May your soul rest in peace.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2012

    Poleni familia ya Marehemu.
    Huyu bwana namkumbuka alikuwa Captain timu ya mpira. wa timu yetu ama Dodoma Alliance (Mazengo Sec) au Tabora Boys, na prefect kwenye 1969/1970. He was a real gentleman, an accomplished athlete and a natural leader. Unfortunately fursa ya kumpa sifa hizo mwenyewe haipo tena. Mwenyezi Mungu amrehemu! Amen.
    Nawapeni pole tena familia....

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2012

    RiP Mzee wetu, Bado tunakumbuka busara zako, uchangamfu wako na uhiari wako kwa kila rika, bwana alikupenda zaidi yetu, tunafarijika kukukumbuka kwa yote uliyotujengea na kutufundisha namna ya kuishi na kila mmoja kwa kujishusha, hakika ulikuwa mfano adhimu! Jina la bwana lihimidiwe.

    Mashaka, H. A.
    shark_ham@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  4. John SukiliMay 14, 2012

    Ni mipango ya Mungu lakini kibinadamu inauma sana. nilimpenda sana Mzee wangu na Kaka yangu Wiron Ngondoki.
    Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amina

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2012

    Baba umeniachia donda ngudu,maishani,hadi Mungu atakapotukutanisha tena.Naumia tu kwa kushindwa kukusindikiza.NAKUOMBEA ,HADI siku bwana atakapotukutanisha tena.Mwanga wa milele akuangazie eebwana,upunzike kwa amani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...