Mtaalam wa kuunganisha kebo za mawasiliano (kulia) na msaidizi wake wakitandaza mkonga huo katika ufukwe wa Msasani, Dar es Salaam, na utafikishwa hadi Visiwa vya Shelisheli ili kuboresha mawasiliano ya mitandao ya simu na intaneti .Picha na Robert Okanda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2012

    NYINYI WENYEWE BADO MPO KWENYE kbps BADALA YA KUBORESHA KWENU MNAPELEKA SHE SHELI..INTERNET HAPA BONGO BADO NI SPEED YA CHINI SANA, WAKATI WENZETU WAPO KWENYE Mbps sisi tupo kwenye kbps...HATA SIELEWI TATIZO LIPO WAPI WAKATI CABLE IPO MLANGONI KWETU.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2012

    Zanzibar na sisi mtatuletea lini YAKHEEEEEEEEEE!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2012

    Michuzi JK aliishwa kwambia kuwa hauitwi 'MKONGA' ni 'MKONGO'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...