Shoto ni Balozi Charles Stith  ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano),Rais Mtsaafu wa awamu ya pili wa Tanzania,Mh Ally Hassan Mwinyi pamoja na  Rais Mstaafu wa Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume wakiwa katika picha ya pamoja jioni ya leo na Wahariri wa vyombo vya habari kutoka Tanzanania,mara baada kumalizika kwa mkutano wa kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .
Wahariri wa vyombo vya habari kutoka nchini Tanzania,wakiagana na Marais Wastaafu wa Tanzania,mara baada ya mkutano wa kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .
Pichani shoto ni Rais Mtsaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania,Mh Benjamin Mkapa akiagana na Balozi Charles Stith  ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania mapema leo jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .
Pichani shoto ni Rais Mtsaafu wa awamu ya pili wa Tanzania,Mh Ally Hassan Mwinyi akiagana na Balozi Charles Stith  ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema leo jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .
Pichani shoto ni Rais Mtsaafu wa Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume akiagana na Balozi Charles Stith  ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema leo jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini 
Pichani shoto ni Rais Mtsaafu  Nicéphore Dieudonné Soglo wa Benin akiagana na Balozi Charles Stith  ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano), mapema leo jioni,mara baada ya mkutano wa siku tatu uliohusu kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini 
Pichani shoto ni Rais Mtsaafu wa Zanzibar,Mh Abeid Aman Karume akifafanua jambo mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye mkutano huo uliohusu maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika
 Baadhi ya mambo yaliyokuwa yakijadiliwa ndani ya mkutano huo mapema leo.
 Pichani juu ni wageni waalikwa mbalimbali waliofika kuhudhuri mkutano huo wa maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika.
Balozi Charles Stith  ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania (Mratibu mkuu wa mkutano),akifafanua jambo kwa wageni waalikwa.
 Mmoja wa wageni waalikwa akichangia jambo.
Baadhi ya Wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo mara baada ya kushiriki mkutano wa kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .
 Wageni waalikwa wakifuatilia jambo wakati mkutano ukiwa unaendelea. 
Wageni waalikwa mbalimbali wakihudhuria mkutano wa kujadili  maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,Mkutano huo uliowakutanisha Marais Wastaafu nane wa Afrika,umefikia tamati leo ndani ya chuo kikuu cha Witwatersrand, jijini Johannesburg, Afrika Kusini .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2012

    mambo ya presidential round table hayo...!!, ni jukumu sasa la hawa wanafunzi kuangalia namna ya ku utilize opportunity na kuja na mawazo ya namna ya kuraise awareness kwa jamii kuhusu production and consumption of energy sustainably kwani sasa wako aware na namna energy inavyochangia kwa kiasi kikubwa uwepo wa matatizo ya mazingira tuliyo nayo hasa kuongezeka kwa joto na hewa mkaa duniani.

    Sio mhudhurie mikutano alafu hatuoni mabadiliko chanya yoyote mnayoleta kwa jamii, wenzetu wanafunzi wa ulaya wako juu sana ktk kuweka mafunzo wanayoyapata ktk vitendo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...