Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2012

    Watoto wa Mama bwana..Kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2012

    Huyo msaili mbona anaongea kama mgonjwa? Au ndio mapozi na huyo msailiwa anaonekana ni mtu wa masifa sifa tu na majigambo mengi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2012

    sikiliza corruption na favouritism za nchi ya Dunia ya Tatu.Bongo iko corrupt sana.OnA Baba anapiga simu tu na unapandishwa cheo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2012

    Sorry, huyu bwana ana short men syndrome. Yuko soooooooooooooo childish

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2012

    Huyu kweli ni bishoo...sasa yote hayo ya nini? Nenda kwenye point moja kwa moja..kweli huyu ni mtoto wa mama....!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2012

    Tehe tehe tehe, imebidi nicheke kigazeti kidogo maana mchangiaji wa kwanza hapo anamuita mwenzie mtoto wa mama. Sa sijui mdingi wake aliingia leba ama. Najiuliza tu! tehe tehe tehe.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2012

    Confused little mummy's boy, anakuwekea hata heleni. I am not sure what his grandmother will think about that, mkulya katuvalia haswa. Man up young man!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2012

    He is not convincing at all, It would take a century to believe on what he is trying to convey!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2012

    mbona kenya hawana A-level

    ReplyDelete
  10. Maana ya 'kukua' si kuwa na ndevu, mvi au kuishi miaka mingi huku kichwani ukiwa umejaa 'upuuzi'. Usipokuwa makini mtu unaweza ukaingia katika utu uzima na huku ukibakia kuwa 'mtoto' vile vile. Huyu bwana bado anasumbuliwa na utoto.

    Mdau
    Stanford

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2012

    Mhh, huyu anasumbuliwa na utoto au ulimbukeni???

    I like vijimambo for giving everybody a chance including jerks.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 30, 2012

    Nafikiri Mdau hapo juu aliyetumia jina LIMBUKENI hajakosea...sasa ya kujisifu yote kuwa sijui RTC, na sukari na mchele na mafuta ya karanga hayakukosekana kwavile mama alikuwa manager wa RTC si upuuzi ni nini..hebu katafakari hili vizuri wewe mtoto unatakiwa kurudi shule u-promoter huuwezi wewe..kichwa kimeoza....!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...