Home
Unlabelled
MWANADIASPORA DICKSON MKAMA ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watoto wa Mama bwana..Kazi kweli kweli
ReplyDeleteHuyo msaili mbona anaongea kama mgonjwa? Au ndio mapozi na huyo msailiwa anaonekana ni mtu wa masifa sifa tu na majigambo mengi.
ReplyDeletesikiliza corruption na favouritism za nchi ya Dunia ya Tatu.Bongo iko corrupt sana.OnA Baba anapiga simu tu na unapandishwa cheo
ReplyDeleteSorry, huyu bwana ana short men syndrome. Yuko soooooooooooooo childish
ReplyDeleteHuyu kweli ni bishoo...sasa yote hayo ya nini? Nenda kwenye point moja kwa moja..kweli huyu ni mtoto wa mama....!!
ReplyDeleteTehe tehe tehe, imebidi nicheke kigazeti kidogo maana mchangiaji wa kwanza hapo anamuita mwenzie mtoto wa mama. Sa sijui mdingi wake aliingia leba ama. Najiuliza tu! tehe tehe tehe.
ReplyDeleteConfused little mummy's boy, anakuwekea hata heleni. I am not sure what his grandmother will think about that, mkulya katuvalia haswa. Man up young man!!
ReplyDeleteHe is not convincing at all, It would take a century to believe on what he is trying to convey!!!
ReplyDeletembona kenya hawana A-level
ReplyDeleteMaana ya 'kukua' si kuwa na ndevu, mvi au kuishi miaka mingi huku kichwani ukiwa umejaa 'upuuzi'. Usipokuwa makini mtu unaweza ukaingia katika utu uzima na huku ukibakia kuwa 'mtoto' vile vile. Huyu bwana bado anasumbuliwa na utoto.
ReplyDeleteMdau
Stanford
Mhh, huyu anasumbuliwa na utoto au ulimbukeni???
ReplyDeleteI like vijimambo for giving everybody a chance including jerks.
Nafikiri Mdau hapo juu aliyetumia jina LIMBUKENI hajakosea...sasa ya kujisifu yote kuwa sijui RTC, na sukari na mchele na mafuta ya karanga hayakukosekana kwavile mama alikuwa manager wa RTC si upuuzi ni nini..hebu katafakari hili vizuri wewe mtoto unatakiwa kurudi shule u-promoter huuwezi wewe..kichwa kimeoza....!!
ReplyDelete