Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Janeth Mbene kuwa Naibu Waziri Fedha wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. January Makamba, kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nini maana ya kuapa kwa kushika vitabu viwili tofauti vitakatifu vya Mungu halafu kesho anawaibia wananchi sisi bila huruma?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...