Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. Janeth Mbene kuwa Naibu Waziri Fedha wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Ndg. January Makamba, kuwa Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Nini maana ya kuapa kwa kushika vitabu viwili tofauti vitakatifu vya Mungu halafu kesho anawaibia wananchi sisi bila huruma?
ReplyDelete