Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.kulia Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,na Waziri wa Wizara hiyo Haroun Ali Suleiman,(kushoto) na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,chini wa Wazri wake Haroun Ali Suleiman,(wa tatu kulia) katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.kushoto ni  Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.(Picha na Ramadhan Othman,IKULU.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...