Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Morogoro, Jasson Shumbusho (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shs Milioni 5.1 kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Sanaa za Maonyesho ya Ngoma Africa Performing Arts, Davie Kitururu ikiwa ni udhamini wa NBC katika tamasha la sanaa la watoto la Paukwa.Kushoto ni Mkurugenzi mwenza wa Taasisi hiyo, Bi. Maya Davie na wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.
Home
Unlabelled
NBC yaipiga jeki Taasisi ya Sanaa za Maonyesho ya Ngoma Africa Performing Arts ya mjini Morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...