Meneja Usambazaji wa Wateja Wakubwa wanaouza bidhaa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kaskazini, Fortunatus Alfred akimkabidhi kadi na funguo za bajaji yenye thamani ya sh. milioni 4,
Mary Kimario ambaye ameshinda uwakala bora wa usambazaji na uuzaji wa bidhaa za TBL Kanda ya Kaskazini. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Moshi, Kilimanjaro.
Mfanyakazi wa Mfanyabiashara ambaye amejishindia Uwakala bora wa bidhaa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kaskazini, Mary Kimario akiwa kwenye bajaji yenye thamani ya sh. mil. 4 aliyozawadiwa. Wanaoshuhudia ni baadhi ya ndugu zake na wafanyakazi wa TBL.Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Moshi, Kilimanjaro.


We mama mtu mzima, was it necessary to wear that way? Jamani, sio kila vazi ni la kila mtu, mengine tuwaachie mabinti wadogo jamani, umri unaenda hautaki kukubali tu! Ona sasa unavyoonekana kama katuni!
ReplyDeleteWanawake tuwe tunaangalia jinsi ya kuvaa, sio kuiga tu, please! by the way, hongera kwa zawadi
Hongera sana Mama-Mary Kimario a.k.a Mama Kasanova.
ReplyDelete