Ujumbe wa Wabunge wa Tanzania unaoshikiri Mkutano wa 28 wa Umoja wa Wabunge wa Afrika na Carribbean unaofanyika Horsens, Denmark. Kutoka kulia ni Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mb wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Naibu Spika Job Ndugai, Mb wa Kongwa na Kiongozi wa Msafara huo na Mhe. Dr. Mary Mwanjelwa, Viti Maalum (CCM)
Mhe. Mussa Azzan Zungu,MB na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama akimpongeza Naibu Spika Mhe. Job Ndugai kwa kuibeba vyema Tanzania baada ya kuongoza kikao cha Kamati ya Masuala ya Jamii na Mazingira ya Umoja wa Wabunge wa Nchi za Afrika na Carribbean. Mhe. Naibu Spika Ndugai ndio Rais wa Kamati hiyo kwa kipindi cha miaka miwili ijayo. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Dr. Mary Mwanjelwa.PICHA NA SAIDI YAKUBU WA OFISI YA BUNGE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...