Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue kushoto akimtembeza Mwenyekiti wa Tume ya kuratibu maoni ya Katiba mpya Waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba  katika ofisi mpya ya Tume hiyo iliyopo katika jengo jipya la Wizara ya mambo ya Ndani ghorofa ya kwanza katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika leo kwenye Wizara ya mambo ya ndani jijini Dar es salaam, katikati ni Celina Kombani Waziri wa Sheria na Katiba.
Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue kushoto akimueleza jambo  Mwenyekiti wa Tume ya kuratibu maoni ya Katiba mpya Waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba wakati wa makabidhiano ya  ofisi ya Tume hiyo iliyopo katika jengo jipya la Wizara ya mambo ya Ndani ghorofa ya kwanza , wa pili kutoka kushotoni Celina Kombani Waziri wa Sheria na Katiba na Angela Kairuki mbunge wa CCM viti maalum Dar es salaam
 Ofisi inavyoonekana kwa ndani.
 Mwenyekiti wa Tume ya Kuratibu maoni ya Katiba Mpya Waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Wariomba wa tatu kutoka kulia akiwa pamoja na viongozi wengine wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa hafla hiyo.
Picha na John Bukuku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2012

    I wish wangeweka sheria za kudhibiti wafisadi. Yaani kama mfisadi akikamatwa atutiwe kazi na kunyanganywa mali. Sehemu nyingi ukienda jela tu ni mwisho wa maisha yaani ukitoka huna pa kwenda zaidi ya homeless. Sasa sisi WaTZ tunafuga uovu wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...