Wake wa Viongozi Wakuu wa Serikali ambao ni wananchama wa New Millenium Group wakihuhudhulia mazoezi ya timu ya taifa ya netiboli, Taifa Queens kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Filbert Bayi iliyopo Kibaha, Mai Mosi 2012. Kutoka kushoto ni Regina Lwassa, Zakia Bilal, Mwenyekiti wa CHANETA, Anna Bayi, Tunu Pinda, Anna Mkapa, Sha Bilal na Khadija Mwinyi.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama za Netiboli Tanzania (CHANETA), Anna Bayi moja kati ya katoni 40 za maji ya kunywa wakati wake wa viongozi walipotembelea kambi ya timu ya taifa ya netiboli, Taifa Queens kwenye shule ya sekondari ya Filbert Bayi, Kibaha Mai 1, 2012. Kuklia ni Mke wa Mkamu wa Rais, Mama Zakia Bilal na watatu kulia pia ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal kushoto ni Mama Hasna Kawawa.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipa Pole Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Esther Sumaye ambaye hivi karibu alifiwa na baba yake mzazi Mzee Natai wakati alipoongoza ujumbe wa wake wa viongozi ambao ni wananchama wa kikundi za New Millenium Group kwenda kuhani msiba huo, nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu (frderick Sumaye (watatu kuli) Kibaha Mei Mosi, 2012. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...