Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(kulia) akimkabidhi Kiongozi wa Kitaifa wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Captain Erenest Mwanossa (kushoto) mwenge wa Uhuru leo mjini Mbeya tayari kwa kuanza mbio kwa ajili ya mwaka 2012.
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara (kushoto) akimtambulisha  Kiongozi wa Kitaifa wa Mbio za Mwenge,Captain Erenest Mwanossa kwa Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda wakati wa uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2012 zilizofanyika leo jijini Mbeya.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda (kushoto) wakibadilishana Mawazo na  Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo,Dr. Fennella Mukangara (katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Dr. Elisante Ole Gabriel (kulia) leo mjini Mbeya mara baada ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa 2012.
Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara (kulia) pamoja na Naibu wake,Mh. Amos Makalla (katikati) wakizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera,wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa 2012,iliyofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Kikundi cha Simba Machezo cha Jijini Mbeya kikitumbuiza jana wakati wa uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2012.Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO-MBEYA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2012

    Ankal naomba kuuliza hivi sikuhizi hakuna wale watu waliokuwa wanaangalia protocal. angalia hizi bendera za hiki kikundi cha ngoma, bila huruma zako juu chini. ndio kusema ....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2012

    HIVI MWENGE UNASAIDIA NINI NAOMBA KUULIZA NA KUULIZA SIO UJINGA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2012

    sijakufahamu wewe unayeshangaa bendera, hii ni bendera ya nchi siyo chama, je hao wanaoshona t shirt za bendera ya USA wao Aka no sweat.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...