TANZANIAN SINGER/RAPPER "AJ UBAO" WHO LIVES IN AMERICA AND "LINAH" WHO LIVES IN TANZANIA COLLABORATED IN THIS BRAND NEW HOT JOINT CALLED U ALL I NEED,LISTEN KWA MAKINI THE SONG IS ABOUT LOVE AND AFFECTION,THE BEATS PRODUCED BY AKILI MTAALAM & DAVID ZYMBO,ENGINEERED AND MASTERED BY CARL,THE VIDEO IS DIRECTED BY DICKSON (DMK) & ROMMEL AND EDITED AND MIXED BY DMK OF DMK GLOBALPROMOTIONS.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2012

    Hii ngoma kali sanaaaa..nimeipenda Linah umeimba english vizuri sana inabidi uimbe zingine za kingereza kumbe unakijua vizuri...AJ huwanakusikia tu kumbe uko poa kaka hii mmetisha

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2012

    LINAH NAKUKUBALI UKO POA KOTE KOTE KISWAHILI NA KINGEREZA?...SIKUTEGEMEA HUYO AJ SIMJUI LAKINI HUKO POA PIA KAKAAAAAAAAA....VIDEO IMETULIA QUALITY BOMBA DMK MI NILIFIKIRI WEWE POROMOTA TU KUMBE DUH HONGERA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2012

    HII NGOMA IMETULIAAAAAA LINAH UKO JUUUUUUUU HUYO AJ BADO KIDOGO.....KAZA BUTI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...